Hiyo siyo rasimu ya Warioba ni ya Kikwete(Raisi) wanapotosha kwani Warioba alitoka kwake akaenda kukusanya maoni bila kutumwa?Acheni kudanganya wananchi. Alichotumwa Warioba kwa Wananchi alileta ila Hawataki kuelewa kuwa hao ndio wananchi waliopendekeza sasa wanaandika yao. Ujanja ujanja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.