Recent content by Mangerero

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    s|:-)
  2. M

    JamiiForums Tanzania SOKO LA MIFUPA YA WANYAMA

    Habari za mchana wana jf Nipo Singida mjn natafuta soko la mifupa ya wanyama kuna wakati nilisikia arusha wananunua sana kwa ajili ya kutengeneza vyombo km sahani .kwa yeyote anayefahamu mahali penye soko tujulishane hapa jukwani. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania nauza gari ( nissan cube)

    Ina shida gani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Za haraka: Natafuta kias kidogo cha Bitcoin

    Habari za jumapili wakuu! Nipo arusha mjin natafuta Bitcoin za kununua, kiasi kidogo kwa Leo za sh 40000 malipo kwa empesa Mwenye kuuza anitafute kwa Namba 0755710560
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bitcoin for sale

    Weka bei mkuu ili tushawishike
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta pumba za mahindi kavu tani moja

    Nipo arusha mjini mkuu bei inategemea quality ya Pumba
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta pumba za mahindi kavu tani moja

    Heshima zenu wakuu, Nipo Arusha mjini najishughilisha na uzambazaji wa vyakula vya mifugo, nimeweka Uzi huu ili tuweze kupeana taarifa za bei na upatikanaji wa Pumba za Mahindi ktk sehemu mbalimbali na Kama unazo tuweze kufanya biashara. Nicheki katika No 0755710560 Asanteni
Back
Top Bottom