Recent content by Mangamanga

  1. M

    JamiiForums Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo

    Acha uboya...Nyumba ni ya watoto yeye anapita njia tu.,kwani muda utaongea.. ..na isitoshe nakaa kwenye nyumba yangu pia....
  2. M

    JamiiForums Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo

    nimesha invest sana kwenye hili gemu mkuu....kunipata lazima ujiandae sana
  3. M

    JamiiForums Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo

    Huo ni ufala siwezi hangaika na mgoni wakati tatizo lipo ndani....sasa nataka nijue hawa wanaonipa papuchi tatizo lao nao lipo wapi
  4. M

    JamiiForums Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo

    Ninachojua ninawagongea jamaa na ndiyo faraja yangu kuona mke wa mtu anavyofika kileleni ...habari nyingine hazinihusu
  5. M

    JamiiForums Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo

    Nikisha maliza hasira nitatulia na totoz mpya..kwa sasa bado niko kwenye hasira
  6. M

    JamiiForums Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo

    Sababu nyumba ni ya watoto siyo ya mama yao...halafu sijakwenda kupanga..ninakaa kwangu pia
  7. M

    JamiiForums Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo

    Naendelea kuwagonga mkuu....nimeshaanza.....dawa ya jeuri kiburi....kunifumania kwenye ngome yangu sahau
  8. M

    JamiiForums Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo

    Wadau Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya kuthibitisha bila ya wasiwasi wowote kwamba mke wangu amekuwa si mwaminifu kwenye ndoa. Pamoja na vikao vya kifamilia na baada ya kujaribu kumsihi sana kwamba akumbuke tuna watoto wa kulea halafu nikamwambia nitakuja kumfanya kitu kibaya yeye na huyo...
Back
Top Bottom