Recent content by Manchid

  1. Manchid

    Kwa Sasa kupata vifaranga chotara aina Kroiler na Sasso F1 ni kazi sana

    Me nafuga na interchick na ninao chotara wa tanbro aisee ni kuku wazuri na wanafugika kienyeji
  2. Manchid

    Naomba ushauri wako nasaha juu ya kufikia malengo ya kuku elfu 5 ndani ya mwaka mmoja na miezi sita

    abari nmeingia kwenye ufugaji wa kuku wa mayai kwa sasa Nina kuku 200 japo nikiagiza 300 ila 100 walikufa kwa kua vitovu vyao vilikua havijakauka napenda kujifunza mambo kadhaa kutoka kwako hasa jinsi ya kuwahudumia Hawa viumbe changamoto na swala la madawa
  3. Manchid

    Kuku wangu wa mayai wamegoma kutaga wanaelekea week ya 19

    Mkuu me nakomaa na Hawa 200 week ya 13 sasa
  4. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Naomba niwape mrejesho Zoezi langu limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana ,lengo lilikua nifuge na nipate kuku1000 lakini ktk jambo lolote changamoto lazima ziwepo nilikumbana na ugonjwa wa vifaranga kuharisha damu so baadhi vilikufa lakini pamoja na Hilo nilifanikiwa kupata kuku 628 na kupitia...
  5. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Naendelea kuwapa mrejesho ndugu zangu mradi wangu unaendelea kuku wale wale waliokua wanalalia nmewarudishia mayai kwa awamu ya pili na tatu Hawa wengine nmeacha watage tu pia Kuna kitu nmejifunza kupitia Hawa kuku wa kienyeji ukimuachia nje azurure atataga kila siku na ukiwa unamfungia utagaji...
  6. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Tutaendelea kupeana mrejesho wakuu nawahakikishia hakuna kinachoshindikana
  7. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Namshkuru Mungu mahali nilipo hakuna hyo tabia
  8. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Kaka njoo nikufundishe kumlisha kuku wa kienyeji akifikia miezi 3 watu wanamshangaa au wanasema sio kienyeji
  9. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Mkuu bila shaka upo kwenye mazingira ambayo yanakubana lakini mimi nipo sehemu ambayo gunia la pumba linauzwa elfu12 na nje Kuna wadudu panzi na mchwa wa kutosha bora Ata mimi hua nawapa pumba kdg majirani zangu wao wanafungulia asubuhi na wanafungia usiku Karibu
  10. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    [emoji109][emoji120][emoji120][emoji120]
  11. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Nawalisha majani na mabaki ya sokoni pia
  12. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Nina mbinu nyingi sana na pia Nina eneo kubwa sana ambalo kuku jioni napomaliza shughuli zangu binafsi hua nawaachia huku na me nikiwa nawafatilia kwa karibu ,chanjo nipo makini sana
  13. Manchid

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Mkuu natamani sana hii kitu kama unaweza kunisaidia mahali ntapata mbegu naomba msaada wako
Back
Top Bottom