Wewe utakuwa mpenzi wa gari ndogo ndogo hizi, kwa gari ndogo kama vitz, ist,allex, kilometa 80,000 ni kubwa sana. Kwa gari kubwa kama volti km 100,000 ni ndogo sana, katizame website zinazouza magari utaona. Volti ina kilometa 200,000 na bado inauzwa bei juu. Kwa kifupi kupata gari kubwa chini...