Recent content by MAN W

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufafanuzi kuhusu wanafunzi walioomba kujiunga na vyuo vya afya

    Bado nini Kingu, selection au
  2. M

    JamiiForums Tanzania Selection vyuo vya afya weka hapa e-mail yako ungaliziwe umepangwa wapi

    Poa, naomba niangalizie willynyanda@yahoo.com
  3. M

    JamiiForums Tanzania Selection vyuo vya afya weka hapa e-mail yako ungaliziwe umepangwa wapi

    Samahani jamani tunaomba msaada kwa ili, kuna watu tunakuta tumechaguliwa, lakini tukienda kwenye profile zetu, tunakuta wameandika checking in progress, kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu hili tatizo naomba tujulishane kama ni tatizo la mfumo au, sabu mi nimejaribu kuwatafuta nacte bila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufafanuzi kuhusu wanafunzi walioomba kujiunga na vyuo vya afya

    Namba walizotoa nyingi hazipatikani, kuna moja ilikua inaita tu hadi inakatika, ukiwatumia sms napo hawajibu, sijui namba walitoa za nini kama hawataki kuskiliza matatizo ya watu, mi kwenye selection nimechaguliwa lakini nikiangalia profile yangu imeandikwa checking in progress hadi leo.Nilitaka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Selection college of health tanzania 2014/2015

    Vipi kaka, ulipata msaada wowote kutoka nacte? sabu ulikua unasema ukiangalia selection unaona umechaguliwa na ni confirmed, lakini ukienda kwenye profile unakuta checking in progress, mi imenitokea iyo, lakini hadi saivi hamna msaada wowote, namba zao walizotoa hazipatikani karibu zote, kuna...
Back
Top Bottom