Recent content by man of sun

  1. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kiongozi me nimekuja inbox naona kimya
  2. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Bro inbox nimekucheki
  3. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kama mtu anajua wale huwa wanachaguaje aniambie
  4. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Maafande ivi hakuna aliye pata lonja za usalama wa Taifa
  5. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jamani NAFASI za usalama ni lini
  6. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ivi wa form four wanabandika majina au
  7. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kikweli nimeumia nimeliwa kichwa lkn sawa
  8. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wee jamaaa tuma pdf humu
  9. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tumeni humu kama umeiona
  10. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Majina nasikia yametoka tuanze kufwatilia
  11. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Polisi red ballet kofia ni akina nani wale maana Kuna black ballet kofia
  12. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Unajua najiuliza kitu kimoja unatoa wapi nguvu ya kupiga kamba wenzio
  13. man of sun

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Msisahau ALPHA COY. Nicoy ya maafisa [emoji23]
Back
Top Bottom