Recent content by man julius

  1. M

    JamiiForums Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    thank u kamanda kazi be blessed too
  2. M

    JamiiForums Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    ahsante sana nashukuru kwa maombezi yako
  3. M

    JamiiForums Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    ahsante kwa ushauri wako lakini maziwa kutokana na ushauri wa madaktari wanasema yana sababisha majeraha zaidi ya vidonda vya tumbo.
  4. M

    JamiiForums Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    kama mwaka wa nne nasumbuka na ulcers nimezunguka hospital kibao nime tumia tiba mbadala lakini bado sijafanikiwa b saizi nazidi kuteseka kichwa kinauma kila mda uwezo wa kufikiria umepungua sana hasira zinaongezeka maumivu makali ya tumbo yanniuma sana natamani nihairishe hata masomo naomba...
  5. M

    JamiiForums kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    naomba namba zako za simu tuma kwenye namba hiyo 0716900549 proposal yako nimeipenda
  6. M

    JamiiForums natafuta kazi

    watanzania wenye moyo wa huruma niwezesheni kazi (part time) ya kufanya hali ni ngumu kwa sisi wazazi ambao hawakuwa na kitu na pia wakatutoka mapema, hata sehemu maalum ya kuishi ya kujivunia kama nyumba shamba hamna, mi nipo chua degree ya kiinjinia udsm lakini mbele sioni
Back
Top Bottom