Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu.
Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine.
Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
Upungufu wa kitu mwilini ndiyo tatizo lenyewe, maana yake haujakamilika, tatizo(ugonjwa) ni any an abnormal condition in the body, it can be genetic disorder or condition caused by life style
Upungufu wa nguvu za kike unaojulikana pia kama "low libido" au "hypoactive sexual desire disorder" kwa Kiingereza, ni hali ambayo mwanamke anakosa hamu ya kufanya mapenzi au ana hisia ndogo za kimapenzi kuliko kawaida. Hii inaweza kutokea kwa muda au kuwa hali ya kudumu, na mara nyingi...
Kabis
Kabisa, wakati mwingine mwanaume anapaswa ajiamini kuwa yuko timamu kimwili, swala la kupambana na madawa ni kujiharibu ingali tatizo ni la mwanamke
Hapahitaji dawa ya usingizi, anatakiwa apate usingizi wa kawaida ifanyike kama reaction ya mwili, alipewa dawa ya usingizi anakuwa anatengeneza reaction nyingine mwilini tofauti na ilivyokusudiwa
Mwanamke anayekabiliwa na upungufu wa nguvu za kike (kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa anapaswa kuingeza masaa ya kulala ili arejeshe mwili katika hali yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.