Recent content by Mambya Joseph

  1. M

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kiukweli mnaboa Sana hasa kuiba muda wa maongezi unaobakia kwenye Simu, yaani ukibakiza hata shilingi 100 baadae ukiangalia huikuti yaani mpaka inalazimu kuwa unajiunga vifurushi vyenu bila kupenda, Kiukweli huo wizi sio mzuri ila za mwizi 40, ipo Siku tutashtaki na hapo mtaona watanzania...
Back
Top Bottom