Recent content by MamaYanguTanzania

  1. M

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Ni kiasi gani cha fedha kitatumia kuendesha serekali hii ya 3. Nchi inashindwa hata kumaliza tatizo la madawati milioni moja na laki 3 yanayotkwa katika shule za msingi, inatoa madawati lakini moja tu kila mwaka. Tutakua tunakuza uchumi au kuudololesha? Serekali 3 is a way out f muungano, tume...
  2. M

    Ukawa

    Kwanini kwa umoja wenu huo mlionao msiutumie kutimiza matakwa yenu bunge la katiba, instead mnapewa forum hamtumii na kututishia tu what you might do. Sasa mchakato mmeukacha, bdo uchaguzi mnatishia mtaugomea. Mtaishia kuwaacha CCM waogoze tu, manake mkisema waendelee kuprevail na nyie bungeni...
Back
Top Bottom