Ni kweli lakini ni bora mwanaume ajue kuwa anahudumia damu isiyo yake kuliko kujiaminisha..
Umeshawaza kama siku baba wa mtoto akirudi akisema anamtaka mtoto wake au yuko tayari kumuhudumia mtoto wake huyo baba fake utamwambia nini
Unajua kuna ile mwanaume ndio kila kitu kwa mtoto kiasi kwamba unasema Ngoja ninyamaze tu mtoto apate matunzo
Sasa hapa sioni ambacho kinafanya huyu mwanaume abaki kwenye maisha ya uongo kwamba mtoto ni wake wakati si wake
Najua labda sister anataka mwanae aonekane ana baba ile kupostiwa...

Sasa kwani akifanya na huyo jamaa siku hiyohiyo alipata mimba.. unajuaje kama walitumia kinga au alikuwa siku salama
Bado sijajua hii story yako ina mantiki ipi
Sio kila sex ni matokeo ya mimba.. huyo jamaa anaweza kuwa alipiga lakini hakuweka mimba

😂😂 nyie ndio wanafki baadae likitokea tukio mnakuja kusema ndugu zake walijua wakakausha lawama tunapewa kama ilivyo siku zote mchuma janga hula na wa kwao..
Unaongea kama kitu rahisi hiko ingekuwa wewe ni mdogo wake au ndugu wa huyo mwanaume ungejisikiaje ndugu yako kupotezewa muda hapo…...
Umri huo unaoa et cocomelon wa 98 hebu kula maisha tafuta hela kwani huwezi kuwa na mahusiano tu bila ndoa 😛😛😛
For sure ni ngumu sana kuishi kwa kipato hiko halafu uwe na majukumu ya kulea usije ita watu wachawi wewe jipe tena miaka 5 mbele kama CR7 kaoa na 41
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.