Recent content by mamam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume kanda ya ziwa hawawezi kupenda mwanamke hata aweje.

    Ninahisi wewe ni mwanaume tena kanda ya ziwa,na una hizo tabia, kama ni mwanamke basi wewe ndo kundi lile la dada wa rafiki yangu au dada wa kabila langu. lingekuwa swali darasani sijui ungeambulia ngapi, soma ndo ujibu usikurupuke, du! jf inavichwa vikisoma tu title hasira
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aliondoka mwenyewe analazimisha tuwasiliane, sio unafiki.

    Ni mama wa watoto wawili,nimeolewa miaka 8 iliyopita, lakini mwaka huu mume wangu akazaa na mwanamke mwingine kwa madai kuwa mimi sio wa kabila lake, ameondoka ndani kahamia huko anafanya utaratibu aoe kabisa. Sikuwa na uwezo wa kumzuia ila binafsi sijakubalina nae na mitala aka ukewenza siutaki...
Back
Top Bottom