Kwahyo Mnyika unataka kutuambia kuwa Wagombea wanaorudshwa kwenye kinyang'anyiro ni kwa sababu umemuandkia Mkurugenzi NEC barua. Tume inafata sheria kwahyo utaratibu wa kushughulikia rufaa upo kisheria..!
Lissu wewe unawazaga nn? Sheria ziko waz kama una malalamiko ya ukiukwaji wa maadili ya kampeni kwann uswaslshe kwenye kamati ya maadili? Uliwaslisha malalamiko yepi yakaachwa kushughulkiwa na kamati? Unapiga siasa mtandaoni ili kupotosha umma usione umuhimu wa hizo kamati au lengo lako ni lipi...
Kuna utaratibu wa kisheria unaopaswa kufuatwa ili kuwasilisha malalamiko wakati wa kampeni. Malalamiko yanawasilishwa katika kamati za Maadili ngazi mbalimbali. Malalamiko dhidi ya mgombea Urais yanawasilishwa Kamati ya Maadili ya Kitaifa hivyo Mgombea Urais wa chama chochote anayo haki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.