Hi,
Pole sana kwa kutokuelewa kwako kama wapendwa au vipi. Kwa maoni yangu ni kwamba huyo patina wako naona hachukui hatua za ziada kwa kukutofautisha wewe na mtu wa kawaida, kwanza inatakiwa akujali zaidi, atake care zaidi yani awe na matendo ya ziada kwako!!!!. Ukikohoa tu aitikie kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.