Lazima mseme hivyo maana JK kila alipoteua waislam mlimwita mdini pamoja wakristo kuwa wengi kwenye baraza lake lakini JPM kati ya mawaziri 34 waislmu 7 hiyo mnaona sawa.
BARAZA la Waislamu Tanzania (Bakwata) limemtaka Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk Joyce Ndalichako kujiuzulu wadhifa huo akimtuhumu kuwafelisha mitihani ya dini ya Kiislamu wanafunzi wa kidato cha sita wa dini hiyo. Kauli hiyo ya Bakwata imetolewa na Mufti wa Tanzania, Sheikh...
Alichofanya ni sahihi, yeye Rais amepata mwaliko na wageni zake,kumpa yeyote amtakae si kosa.Dunia kwa sasa ni kijiji ndugu,kukutana yeye na mwanae Australia si jambo la kushangaza.
kiukweli Le Mutuz umenena,maana ukiangalia jirani zetu kenya mpaka wao kufanikiwa Dual C/ship kikubwa walisimamia jinsi gani walio nje ya kenya wanasaidia kuendesha nchi yao ya kenya.Naamini wakiweza kuthibitisha hilo na kuwa na sauti moja watafanikiwa.
sasa mtoa mada,hao wagonjwa watafikishwa vipi huko zahanati kwa wakati ikiwa barabara hakuna/mbovu? Nadhani ufikirie kwa upana kabla ya kuanzisha mada. Ama wewe ulitaka iweje?unajua pale imeokoa km ngapi na unaokoa mafuta kiasi gani?inamaana tunaokoa kununua pesa za kigeni kwa ajili ya kuagiza...
umesahau na bukoba na maeneo ya jirani yenye wasomi wengi na ukimwi wakumwaga(wanawake wao utawakuta kwenye vibanda vya mitaa fulani ya jijini wakijiuza).
Hapo naona fiksi tupu,Vipi kuhusu visima kumi na mbili alivyozindua hivi karibuni navyo havitoi maji?. Hata kama kusoma hujui vipi picha huzioni???.Habari za uongo uongo na majungu hapa si mahala pake.
Wakati wa utawala wa raisi kikwete ameonyesha utawala wa demokrasia na uhuru wa habari ndo(kwenye utawala huu vigogo mbali mbali wamepandisha mahakamani na wengine kufungwa) jambo ambalo si la kawaida kwa viongozi waliomtangulia. Na matatizo yote yaliyojitokeza amejitahidi kadri ya uwezo wake...
Atahutubia mikutano ya wasomi duniani
Vijiji 1,500 nchini kuwa na umeme Aprili 30
Waziri wa Nishati wa Tanzania Profesa Sospeter Muhongo amealikwa kuhudhuria mkutano unaoshirikisha viongozi na wataalamu kutoka mataifa mbali mbali nchini Uswisi.
Mkutano huo ujulikanao kama World Economic Forum...
ulitaka wakristo wawe wengi??? Acheni hayo mambo angalia sifa ya mtu na sio dini yake.Ukianza hivyo waislam nao wakianza kuhoji mbona wakristo ni wengi katika nafasi mbalimbali kwani waislamu hakuna?. Tatizo mmezoeshwa kudhulumu dini nyengine. Tanzania ni ya watanzania wote na hakuna mbora zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.