Recent content by Mallia

 1. Mallia

  INAUZWA Mashine ya juice ya miwa na banda lake

  [emoji6][emoji38]
 2. Mallia

  Siku basi la mwendokasi likilipuka na watu ndani ndio Serikali itaanza kuchukua tahadhari?

  Niko Magomeni hapa mwenye macho haambiwi ona kuwa huu mradi kwa sasa umelemewa na sio salama tena kwa afya za watu na usalama wao pia. Gari 100 haziwezi kuwamudu watu wote wa Dar es salaam ambao wanatumia usafiri huu , magari yamechakaa na yanajaza watu kupitiliza kitu ambacho ni hatari kwa...
 3. Mallia

  Nina tatizo la kupata choo kwa shida sana

  Kunywa maji ya moto mara kwa mara tatizo litaisha
 4. Mallia

  Simba SC yapanda vilabu bora Afrika

  Yanga ya ngapi
 5. Mallia

  ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

  Umenena mtu kafundisha udsm miaka yote lazma kuna watu wazito wamepita mikononi mwake
 6. Mallia

  Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

  Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
 7. Mallia

  Irish Times - Tanzania Inahatarisha Dunia

  Tunahatarisha kweli sio utani wenzetu wanapambana sisi tunaleta siasa
 8. Mallia

  Kauli mbiu ya Total War yawakera baadhi ya mashabiki wa Simba SC

  Wewe ni shabiki wa utopolo tu
 9. Mallia

  Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

  Drag me.to hell shkamoo
 10. Mallia

  Mwanaume asiye na pesa hupendwa na mama yake tu

  Kaa kizembezembe uone
Top Bottom