Habari Wana-Jukwaa
Naomba msaada wenu kunisaidia katika hili, Mfano Mwanafunzi ada yake ni Tsh. Milioni 6 na kwenye Mkopo wa HESLB amepata asilimia 100 atalipiwa kiwango chote cha ada hiyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.