Recent content by Maliki hechem

  1. M

    MSAADA: Ukuta wa nyumba unapandisha unyevu kwenye nyumba nzima

    Nashukuru sana, ni materials gani bora kwemye treatment ya hili
  2. M

    MSAADA: Ukuta wa nyumba unapandisha unyevu kwenye nyumba nzima

    Nilishaga Maliza ujenzi yani hadi finishing ilishakamilika na ninaishi kwenye nyumba nw ila sasa kipindi hiki cha mamvua ndio nimeona hiyo effect
  3. M

    MSAADA: Ukuta wa nyumba unapandisha unyevu kwenye nyumba nzima

    Wakuu Habari, naomba kwa mwenye ujuzi anisaidie, nyumba yangu wakati naanza ujenzi sikuwa na ufahamu wa badhi ya vitu hivyo sikuweka DPM au DPC kwaajili ya kuzuia unyevu usipande kwenye kuta. Mafundi pia hawakunishauri lolote juu ya hilo ila kwasasa vipindi vya mvua naona athari yake kwani...
Back
Top Bottom