Lakini hapa hoja ambayotunaweza kujadili ni "Kile kiapo cha ndoa cha kanisani kiliandikwa na Mungu au ni wanadamu walijitungia ngonjela zao wakaweka watu waimbe na kwanini mtu analazimishwa kusema maneno ambayo sio ya kwake ni ya mtu mwingine alafu anahukumiwa kwayo"?
Sheria ya ndoa za kikristo inasema ikishafungwa hakuna chombo chochote hata mahakama ambayo inaweza kutengua hiyo ndoa ata kwenye cheti cha ndoa kuna hicho kipengele alafu sheria mpya ya mirathi inasema mtu au mmiliki wa mali yoyote anaruhusiwa kumrithisha mtu yeyote ambaye amependezwa naye sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.