Habari ya jioni,
i am new to this forum, lakini kwenye kuperuzi peruzi i came across this discussion ya kilimo cha matikitimaji. Ingawa ni discussion ya muda mrefu kidogo lkn nimeona iko useful kwangu. Kiukweli i am impressed na naona ni kilimo/biasahra naweza fanya.
Ninahitaji ushauri, ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.