Recent content by Makungu charles

  1. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Nissan march(baadhi ya maeneo huitwa Nissan mirca) ni gari Bora Sana kwa matumizi ya miji

    Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982 Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga soko la magari madogo (compact cars). Lengo kuu la gari hili lilikuwa kutoa chaguo la kiuchumi kwa...
  2. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Sawa mkubwa
  3. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Kwa uzoefu nilionao magari yanayotumika kwa wingi mgodini ni Howo pamoja Benz maana ni gari zinazovumilia Hali yoyote mfano GGM Howo zipi nyingi Sana na mgodi wa Nyanzaga Howo ni nyingi sana
  4. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Pi Lakin Howo na Benz ndo gari nyingi San zinazotumika sehemu nyingi San na ndo pendwa Sana kwenye kazi ngumu mfano GGM gari nyingi zinazotumika ni Howo na Benz
  5. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Mmmh! kama Kuna gari ya aina hiyo magari mengine yasinge ingia sokoni na kununuliwa kwa wingi expert
  6. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Howo ina nguvu Sana ndo maan hata migodini Howo zinatamba Sana
  7. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Howo N7 (NX) 6x4 Truck: ni gari la mizigo la kisasa, linayotumika hasa kwa usafirishaji wa bidhaa nzito na masafa marefu. Gari hili linatengenezwa na kampuni ya HSinotruk (Sinotruk International), ambayo ni moja ya watengenezaji wakubwa wa magari ya mizigo duniani. Sifa Muhimu za howo N7 1...
  8. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Ifahamu kwa kina gari aina ya cyber truck

    Kweli kiongozi naona Africa tumeanza kujiboresha kwa kuanza kutengeneza magari ya umeme kama nchi ya Burkina Faso na Zimbabwe wamefanya kazi nzuri sana
  9. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Ifahamu kwa kina gari aina ya cyber truck

    Kweli sema n very expensive Sana
  10. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania "ijue Toyota Harrier E new modern"

    Toyota Harrier ni gari la kifahari linalozalishwa na Toyota na linajulikana kwa muundo wake mzuri, utendaji bora, na faraja. Toleo la Toyota Harrier lenye jina la "E New Moden" linajumuisha sifa mpya na teknolojia ya kisasa ambayo inaboresha uzoefu wa kuendesha gari. Sifa za Toyota Harrier (E...
  11. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Vitu gani ambavyo hupelekea matumizi ya mafuta kuwa mkubwa kuliko kiwango cha kilomita ?

    Ni sababu zipi zinazopelekea kupanda kwa ulikaji wa mafuta?
  12. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Ifahamu kwa kina gari aina ya cyber truck

    Mimi naona cyber truck pia gari zuri tu expert zeiss
Back
Top Bottom