Pamoja na huduma zote tunazotoa, napenda kuwakaribisha watu binafsi wote wanaotaka kucholewa ramani halisi kwa kutumia GPS ( Cadastral Map) ambazo zinahusu viwanja, mashamba, biashara zao mahali zilipo au barabara zinazoelekeza sehemu husika ilipo (kwa kuonyesha umbali halisi na ukubwa halisi...