mbona hapo kulikuwa na single mech yan n boost odd nkasema roma ajax na adrechet watawin (wakapgwa hatua ya kwanza but juz wameshinda)saa naona had leo ipo vle vle yan cjalose wala kuwin
psg nilisita kukuamini nkajilipua zen imenikost,nikipga mahesabu tangu nijarbu beting nmeambulia 12000 tena kwa mara ya kwanza nabet lkn tangu lile zali sasa inafika hata 40 elf (kubwa kwa upande wangu) napgwa tu,nililala nkiamin bwana cavan na draxler watacmamia shoo......NAJTATHMIN WAKUU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.