Recent content by Makavuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji kujiuzulu kabla ya tarehe 16 Sept ameona nini?

    Yule bwana ni mjanja sana lakini ni kawaida ya wahindi,,sababu aliyoitoa kwamba amebanwa na majukumu aikuniingia akilini kwasababu sio mara ya kwanza kurudi pale kama mwenyekiti wa bodi,,mpaka anarudi alikuwa anajua majukumu yanavyombana kwanini alirudi? Kwamba amekuja kuona majukumu yanambana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nashukuru kwa Mo Dewji kumuondoa Msaliti Mkuu na Mtu aliyetuumiza sana Simba SC kwa Yanga SC Salim Abdallah 'Try Again' katika Bodi

    Msaliti namba Moja wa Simba ni uyo mhindi wenu Mo,,mtakuja kushtuka mkiwa mshachelewa,, Akishaga chungulia na kuona upepo auko sawa uwa anajivunja na kumpa mtu mwingine nafasi yake akisingizia majukumu kwani wakati anarudi kuwa mwenyekiti wa bodi akujua kwamba anayo majukumu yanayombana? Hapo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Simba vs Yanga

    We ulishahoji mkataba wa Mo cola na Mo energy zilizobandikwa mpaka matakoni anawapa shingapi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    🤣🤣🤣 Mo cola ipo mpaka matakoni sijui anawalipa Bei Gani uyo mhindi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha jezi za simba sc kuvujaka kabla ya uzinduzi ni dhahiri kuwa hawawezi kuwa mabingwa wa NBC 25/26

    Jezi zilizovuja sio zilizozinduliwa mkuu🤣🤣🤣
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Mbunifu alivyosikia yanga jezi zao Zina ubunifu yeye akaona isiwe tabu Wacha achanganye rangi kama wanavyotengeneza batiki mengine watajua wenyewe🤣🤣🤣
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Nionyeshe ubunifu wa diadora apo Zina tofauti Gani na jezi za msimu uliopita?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Mo cola mpaka matakoni lakini aijulikani anatoa shingapi kwenye ayo mabango🤣
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Apo utaona Kuna ubunifu wa uhakika lakini niambie ubunifu kwenye ayo magorofa ya kariakoo uko wapi👇
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Kuna ubunifu na Kuna kuchanganya rangi kama inavyotengenezwa batiki na wajasiriamali wadogo wadogo ndicho kilichopo kwenye jezi ya simba
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Kama wanashindwa kutunza siri zao ujue huo ndio ujasusi wa yanga kupitia kuvurugana kwao🤣🤣
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Yanga ashawamiliki Kila idara kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja ivyo atayetoa milio ni Simba sio yanga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Wangesema walikuwa wanazindua uuzwaji wa jezi na sio kuzindua jezi kwa maana jezi zilishajizindua zenyewe kitambo kilichokuwa kimebaki ni kuanza kuuzwa🤣🤣🤣
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Thubutuu,,asingeweza kuingia hasara
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Nilikuwa nasubilia kwa hamu kujua kama zile jezi zilizovujishwa za Simba kama zilikuwa ni jezi halisia hili nijiridhishe na jambo Fulani,,, Lakini nimejiridhisha Leo kwamba zilikuwa ni jezi zenyewe halisia baada ya kuzinduliwa zile zile zilizovujishwa! Hapa nawapa kongole yanga kwa kuwa vizuri...
Back
Top Bottom