Recent content by MAKATA WAHI

  1. M

    Notes: Udini wa ukatoliki na ulutherani tunauona

    Tuangalie nchi kwenye mtazamo wa umoja na kushirikiana sio kugawana kwenye matabaka
  2. M

    Notes: Udini wa ukatoliki na ulutherani tunauona

    Udini utaleta matabaka katika nchi hii angaika angaika ya Dr Slaa ni ukatoliki wala sio jengine tuliona 2010 Dr Slaa akipata nguvu kutokana na ukatoliki sasa Leo anakuja na kumsema sana Lowassa kwa kumwambia fisadi alituambia ana list of shame kama kumi na moja haya sasa umesema mmoja mbona...
  3. M

    Miongozo ya kidini bado muda?

    Tatizo kwenye raha wanakuwa wao tu lakini kwenye shida wanataka ushirikiano. Wakatoliki walimsumbua kikwete sana 2010 wakampa Dr Slaa nguvu. Leo kimya kisa ndugu Yao yupo tumeona juzi kupitia kwa Dr Slaa ubaguzi wao basi sisi wa lutherani na ndugu zetu waislam tujitenge tujue ukweli uko wapi
  4. M

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Tunasema kila mtu ana akili. Na akili za kuambiwa changanya na za kwako mbona tunaona mchezo na maigizo kwenye hotuba ya Dr Slaa. Hivi walipanga au walijitaharisha siku zote tunaona media Fulani wakisema wapinzani hawaonyeshi habari zao mfano wakuondoka ccm Lowassa na sumaye hatujaona...
  5. M

    Magufuli na wewe utaanguka Jangwani Leo.

    Tunasema ndio uwanja wetu wa ushindi ndio maana mkausafisha ukawa fresh ili tuone Kafara leo
  6. M

    Magufuli na wewe utaanguka Jangwani Leo.

    Historia inaonyesha miaka 10 ya kikwete katika kuomba kura katika uwanja wa Jangwani alishaanguka Mara mbili watu usema ndio Kafara ya chama. Je na Leo mgombea hataanguka pia
  7. M

    Ushindi tutauona pale Akianguka Mgombea Wa CCM jangwani

    Ndio maana wakarudi tena eti kuna zindiko
  8. M

    Ushindi tutauona pale Akianguka Mgombea Wa CCM jangwani

    Na kesho mgombea wa CCM hataanguka tena uwanjani.
  9. M

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    LEO Nitaanza na na lusinde na makongoro nyerere.... Lusinde alimaarufu kibajaji huyu jamaa nikiangalia tokea yuko bungeni alikuwa ni mtu mwenye maneno machafu sana tunasema hana hekima sasa sijui ni kigezo gani kilitumika kuchaguliwa kwenye Timu ya maangamizi maana alishatolewa mvuto na...
  10. M

    GE2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    Napata wasiwasi na ombi lako maana hujapata unapendelea kwenu ukipata je sisi wengine utatutenga Lindi Lindi na wewe
  11. M

    Makala fupi: Tulipo na tuendapo katika siasa na ulimwengu ulio isha ubinadamu.

    Nakumbuka katika pita zangu nilichukua maoni kutoka sehemu nyingi Sana juu ya wananchi juu ya swala la uchaguzi niliona kuwa mchaguliwa na mchaguwaji wote wanafanana sawa na msemo " Nipe nikupe" sio je "Nikukupa utanifanyia nini" tatizo sisi watanzania tuna ubishi wakutafuta mabishano yasio na...
Back
Top Bottom