Recent content by makanza og

  1. makanza og

    UDAHILI AWAMU YA NNE

    Kwa wanaochukua stashahada na astashahada nacte imetoa awamu ya tatu kutuma maombi
  2. makanza og

    Nacte udahili awamu ya tatu

    Vimefungua sawa lakini nacte wametoa kuanzia tareh 24 had 29 awamu ya tatu
  3. makanza og

    Nacte udahili awamu ya tatu

    Awamu ya tatu hii tunafanyaje application nacte kwa anae jua anisaidie
  4. makanza og

    Naombeni ushauri nifanyeje kwa sasa

    Najulia WAP kulima ndg yangu
  5. makanza og

    Naombeni ushauri nifanyeje kwa sasa

    Sina Raman na chuo chochote cha private labda kama kipo nipate mawasiliano
  6. makanza og

    Naombeni ushauri nifanyeje kwa sasa

    Jaman wakuu mm Nina 3 yangu ya 25 japo so nzur lakn naona nilijitahidi nimeaplly certificate ya ualimu mpaka Mara mbili nakosa first & second sasa hvi second zimetoka simo tena nishaurini nifanyeje
  7. makanza og

    Hivi kuna third selection za advance mwaka huu kama mwaka jana ?

    Hivi kuna third selection za kwenda advance mwaka huu kama mwaka jana wakuu ningependa kujua?
  8. makanza og

    Second Selection Nacte

    Mkuu mm kwa kweli matokeo yangu ya 4m4 so mazuri nilipata three ya point 25 nka apply astashahada ya ualimu wa shule ya msingi kwa awamu ya kwanza nikatemwa na reason ilkua the last selected ana point 24 ko mm na 25 2kaambiwa kuapply upya HV kwel awamu ya pili watanichukua au niangalie private...
Back
Top Bottom