Recent content by Makanyaga

 1. Makanyaga

  HESLB wanatoa wapi pesa za kudhamini vipindi vya redio?

  Inawezekana labda kuna kitu faida wanayopata kutoka kwenye tangazo hilo.
 2. Makanyaga

  Kuna ubaya Rais wa sasa kujiunga na CHADEMA?

  Mama tayari alishaonya kuhusu pilika pilika za 2025 kwamba watu waache; wenye akili timamu na wenye kusikia nadhani watakuwa walimsikia na kumwelewa
 3. Makanyaga

  Mazungumzo kati ya Askofu Mwamakula na Ifuguto

  Hapa aliyekuwa anahojiwa kati ya mwandishi na Baba Askofu, ni yupi? Mwandishi au Baba Askofu?
 4. Makanyaga

  Kuna ubaya Rais wa sasa kujiunga na CHADEMA?

  This time ikitokea tena watu wakaanza kufanya upumbavu wa namna hii, kwa hakika watakuwa wanalipigia Jeshi, na si kwamba watakuwa wanalibip, hapana. Watakuwa wanalipigia Jeshi na safari hii litaipokea simu hiyo. Tuache kuendelea kufanya ujinga kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi
 5. Makanyaga

  Kisa cha kweli cha Hayati Nelson Mandela akiwa Rais jinsi alivyokutana mgahawani na Askari aliyemtesa alipokuwa jela

  Hivi hawa makaburu waliokuwa wanafanya mambo haya, asili yao Ulaya ni nchi gani?
 6. Makanyaga

  Rais Samia Suluhu umeanza vizuri lakini naomba uyafanyie kazi mambo kumi

  Ulilotaja hapa kama namba 10, ulitakiwa ulitaje kama namba moja
 7. Makanyaga

  Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

  Angalau basi uwe hata Afisa Muambata wa ngazi ya juu kwenye Wizara husika uliye na access ya kufikisha mawazo yako moja kwa moja kwa mdomo, kwa wanasiasa wanaohusika
 8. Makanyaga

  Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

  Actually ukifanya sensa leo unaweza ukagundua kuwa pengine hata tumeshavuka million 65!
 9. Makanyaga

  Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

  Angalau nusu ya hao million 40 ni uhakika kuwa 500 haiwezi kuwa na madhara kwao. Hata nusu tu ya watu hawa inatosha kabisa kwa wazo hili la Salary Slip kuwa implemented. Kumbuka pia kuna watu wengine wenye ukwasi wanaoweza wakawa wanachangia mfuko huu kwa hiari, wengine wana uwezo wa kutoa hata...
 10. Makanyaga

  Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

  Salary Slip Your idea is superb! Yaani kuna watu wengine hata hawana uwezo wa kugharmia matibabu. Ukiangalia kipindi cha Mimi na Tanzania kila wiki J4 kinachoendeshwa na Hoyce Temu ITV, utasikitika sana. If implemented, your ides could save lives of people. Idea hii inabidi iwafikie kwa haraka...
 11. Makanyaga

  Msaada namna ya kufikisha malalamiko JWTZ

  Kuna jamaa yangu wakati tuko chuo aliwahi kunichekesha sana. Wanajeshi wako safarini, wakakuta sehemu barabara ni mbovu haipitiki mvua ilikuwa imenyesha sana. Wakaamua kufanya opersheni pale pale, kulikuwa na mawe umbali kidogo ikabidi waanze kusomba mawe na kuyaweka barabarani kama hatua ya...
 12. Makanyaga

  Rais Samia Suluhu Hassan, sambaratisha Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu

  Hivi kwa nchi ambayo tayari tumeshafikia uchumi wa kati, tunatengenezaje ajira kwa watu wetu wasiokuwa na ajira? Hiki kitu mimi nakiona ni kama mojawapo sasa ya fursa za ajira zilizojitokeza baada ya mambo yetu kuwa yamekuwa mazuri, pamoja na kwamba kilianza kabla hatujafikia uchumi wa kati...
 13. Makanyaga

  UTEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Wenyeviti na Wakurugenzi wa Bodi na Taasisi mbalimbali

  Tupunguze maneno kwenye mitandao, tumpeni nafasi Rais afanye kazi, kazi njema.
Top Bottom