Kwani VAR imetengenezwa kwaajili ya kukataa magoli ya Liver au kumsaidia Mwamuzi kufanya maamuzi pale anapohisi anahitaji Msaada?
Kuna mwenzako nimemjibu hapo juu kwenye post #34 kuhusu goli la Liver lililokataliwa.
Kama uliangalia game ya Liverpool na Aston Villa kwenye EPL, Roberto Firmino alifunga goli VAR ikasema sio goli.
Kwani ile game ya Liverpool na Man U Origi alivyokwatuliwa halafu mpira ukaelekea kwa Liver kisha Liver wakafungwa VAR iliwabeba Liver?
Tuwe tuna balance matukio, kama ingekuwa...
Daaah!!
Bahati mbaya Mkuu, siku nyingine ukitaka kupiga hela vizia game mbili mfululizo za Man U au Chelsea halafu ubet kuwa wananyooshwa, lazima upige hela.
Trend inaonesha hizi timu sasa hivi ni kama Gari la Mkaa, tripu moja barabarani moja inayofuata ipo Gereji.
Mfumo ukishasetiwa huwa haufanyi kazi kwa maelekezo ya kila mtu vile anavyotaka yeye.
Huo mfumo wa VAR kabla ya kuanza kutumika walikaa experts wa masuala ya mifumo ya Kompyuta na Mpira wakaona upo poa. Inakuwaje wewe mtoto wa Buza uone una kasoro?
Nendeni mkaanzishe Mifumo yenu iwabebe nyie 😂😂
Kwa maana hiyo UEFA nao msimu uliopita walipanga kuwapa Liverpool Kombe la UEFA pamoja na UEFA Super Cup?
Vile vile FIFA walipanga kuwapa Liverpool Kombe la Dunia la Vilabu?
Unadhani kule ni Mbumbumbu na wana longolongo kama Mipira yenu ya Kibongo.
Mbona husemi kitu leo Man City walivyopewa...
Umekimbia kule kwenye uzi alioanzisha mwehu mwenzako umekuja kuanzisha uzi mwingine huku.
Uwage na akili basi we jamaa.
Ratiba ya EPL huwa haipangwi kila Wiki, huwa inapangwa kabla Ligi haijaanza.
Mbona Liverpool walitakiwa wacheze na Aston Villa kwenye Carabao Cup and within 24 hours...
Hawezi kurudi tena na kujibu chochote.
Kwa ujumla sasa hivi Mtaani hakuna kabisa mijadala kuhusu EPL, wameshajua hali zao mbaya kwa wale wasioipenda Liverpool.
Wengi wao walitegemea Man City ndo iisimamishe Liverpool lakini baada ya kichapo cha jana kutoka kwa Wolves matumaini ya kuifukuzia...
Kwahiyo ulitaka niandikaje labda?
Nadhani wewe ni mgeni wa Jamii Forum na inawezekana hufahamu kuwa JF inaendeshwa kwa Sheria na Taratibu.
Kwa mtazamo wako ningekuwa nimetukana hadi sasa hivi ningekuwa sijakula "Ban" au wewe unafahamu sheria zaidi kuliko Mods?
Unaweza kunionesha tusi...
Muda mwingine kukaa kimya pia inasaidia uonekane mwelevu kuliko kupiga kelele zitakazokufanya watu washindwe kujua kuwa wewe ni Chizi au Mwendazimu.
Sio lazima kila mtu awe mchambuzi wa Soka hapa Duniani. Unaweza ukawa Mchambuzi wa Nywele za dada zako, utakuwa umefanya la maana kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.