Recent content by Majok majok

  1. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Kweli kabisa bwana mbumbumbu, mangungu apewe mitano mwingine!
  2. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Labda nikwambie kitu yule mutale ni mchezaji machachari na sio mchezaji hatari, yule akuna tofauti kati yake na kisinda aliyekuwa yanga, angalia final touch zake na maamuzi yake ya mwisho yakoje, Azam waliwai kutaka kumsajili lakini nafikiri benchi lao la ufundi lilifanya kazi yake ipasavyo...
  3. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba queens yaondolewa kuwania nafasi kucheza cafcl upande wa wanawake

    Yule comedy wao msemaji alikuwa anawacheka Azam kutolewa kwa upande wanaume lakini Sasa timu yao ya kiume aina tofauti na ya wanawake na wao inakuja thank you kwa kushiriki siku sio nyingi!
  4. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Taifa stars Yanga waitwa 7 Simba wachezaji wa 3

    Ni akademi inalea vipaji na kuuza🤣🤣🤣
  5. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Taifa stars Yanga waitwa 7 Simba wachezaji wa 3

    Jibu linajulikana tu Simba Awana ubora wa wachezaji Bali Wana lundo la wachezaji, anzia kwenye back line nitajie beki wa Simba mwenye ubora Kama wa Ibrahim baka, bakari mwamnyeto ama diksoni jobu, ukitoka hapo nenda kwenye kiungo ni nani pale anamuweka benchi mudathiri, nenda kwa mshambuliaji ni...
  6. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Katika hoja zote umetoka na hoja ya kiswahili tu basi, jibu hoja usifanye mangungu aonekane alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu maana wanachama wake na mashabiki anaowangoza wengi wao akili ni Kama zako, hoja ujibiwa kwa hoja na sio mipasho ya waimba taarabu!
  7. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Leta uchambuzi wako usiokuwa na mihemko tuuone basi ulivyo!
  8. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Eti vijana wenye vipaji basi tulia usubilie ivyo vipaji tuone vitakufikisha wapi, mnajazwa na mnajaa Kama Maputo, wewe ivyo vipaji uliviona wapi mpaka ujiridhishe kwamba Wana vipaji? Unameza unachoambiwa na unakishupalia kabisa🚮🚮🚮
  9. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Nenda ukoloni wakuwekee Aya, jibu hoja mengine ayakuhusu, inawezekana ulikuwa mmoja wao wa wale waliopiga makofi kumsajili manzoki kwenye uchaguzi siwezi kupoteza mda wangu kukuelewesha na bandiko linajitosheleza!
  10. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza. Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2...
  11. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kusisimua mwili uongozi utoe tamko au upuuzie?

    Hizi porojo azijaanza Leo na bahati mbaya zinatolewa na ziliwai kutolewa na wajinga wajinga ambao Awana ata ushahidi na walishindwa kutoa ata ushahidi, ubora wa yanga unaanzia kwa fitness coach anayefanya kazi yake vizuri, usidhani mpaka yanga kafika robo fainali klabu bingwa kucheza na timu...
  12. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini na hiyo timu yenu, wekeni akiba ya maneno, ushindi dhidi ya Tabora, Singida fountain gate usiwafanye mkaona mko vizuri

    Timu zote zitakuwa mochwali Kama zile 5 zilianzia kwenu Kila goti litapigwa!
  13. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini na hiyo timu yenu, wekeni akiba ya maneno, ushindi dhidi ya Tabora, Singida fountain gate usiwafanye mkaona mko vizuri

    Usikurupuke Kama umeshikwa ugoni angalia alichoandika mwenzako na ndicho nilichomjibu usitake Tumaini Rage na msemo wake ebho!
  14. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini na hiyo timu yenu, wekeni akiba ya maneno, ushindi dhidi ya Tabora, Singida fountain gate usiwafanye mkaona mko vizuri

    Uyo nafikiri ni miongoni mwa wale aliowasema Rage wamejaa wengi kule mtaa wa pili!
  15. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini na hiyo timu yenu, wekeni akiba ya maneno, ushindi dhidi ya Tabora, Singida fountain gate usiwafanye mkaona mko vizuri

    Acha utahaira singida kacheza na Tabora mechi Gani ya ligi ama ya kirafiki? Ninachojua singida kacheza na ken gold mechi ya kwanza akashinda 3-1, mechi ya pili singida kacheza na Kagera sugar akashinda 1-0, sijui iyo singida iliyocheza na Tabora unayoisema ni ipi labda! Alafu jikite kwenye hoja...
Back
Top Bottom