Kwanza kabisa naomba niombe radhi kwa kuchelewa kujibu maswali yenu, The Boss ,gharama zinategemea na project unayotaka iko wapi,na ni kisima cha size gani,hivyo gharama zinatofautiana kutokana na vipengele hivyo viwili Sabayi na Speedy ,sisi tutakujengea kisima tu cha kuhifadhia maji,huduma ya...