Recent content by maji tu

  1. maji tu

    Kuku wamayai wamenipa faida

    Bado naendelekea kuongeza mradi ninahamini utakua mkubwa kwasababu umeninogea nahamini utakua tu
  2. maji tu

    Kuku wamayai wamenipa faida

    Nilivuchukua vifaranga nimevifuga kwa muda wa mienzi minne na wiki mbili wakanza kutaga na wanataga kwa muda wa miaka miwili watakua wamemaliza kutaga bada ya hapo unawauza tena na kuku wenyewe
  3. maji tu

    Kuku wamayai wamenipa faida

    Hawa kuku wanakula laki moja na nusu kwa mwezi na kwasababu hiyo ninauza trei elfu Saba na kila siku naokota trei mbili jumla hizo trei mbili napata laki nne na ishirini toa chakula inayobaki Ndo faida yangu
  4. maji tu

    Kuku wamayai wamenipa faida

    Hawa kuku Ndo wameanza kutaga kwaiyo utagaji unapanda manatokea wameanza kutaga wanamiezi miwili tokea wameanza kutaga ila utagaji kila siku unapanda ujashuka tokea wameanza kutaga
  5. maji tu

    Kuku wamayai wamenipa faida

    Nikuku wa Mayai wa kisasa
  6. maji tu

    Kuku wamayai wamenipa faida

    Nilichukua vifaranga vyenye siku moja
  7. maji tu

    Kuku wamayai wamenipa faida

    Nilianza safari ya ufugaji mwaka Jana mwenzi wa sita kwakununua vifaranga mia kila kifaranga nilinunua elfu mbili na miasita niliweza kupambana navo katika vifaranga mia vilikufa vifaranga vitano tu saiv nimefikia kuokota trei mbili kwa siku naziuza nakupata elfu kumi na nne kwa siku...
Back
Top Bottom