Je, ni kweli kwamba pesa zitolewazo na bank ya dunia ili kugharamia miradi ya maji vijijini kupitia ruwasa (p4r) imekwama kutokana na serikali kutumia fedha hizo kwenye mambo mengine nje ya miradi tajwa? Tunaomba ufafanuzi wa wizara husika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.