Recent content by Maji Mazuri

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nashukuru; lakini nguzo hizo zimewekwa na zinamaliza mwaka sasa; mradi umekaa kimya wala hakuna linalofanyika wanaongeza kuvutia wateja wapya hivyo tatizo la umeme kupungua ndo linakuwa kubwa kila siku; dah! tusaidieni jamani; asante.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nashukuru Ndugu; Jamni huku JF watu hatupendi kuweka namba za simu; nyie tatue tatizo namba za simu za nini tena kwenye mitandao? kujengea visa tu na watu; fuatileni kama kuna taarifa zinahitajika tofauti na taarifa zangu binafsi nitatoa; huku tumeripoti hadi tumechoka; tumesaini daftari hadi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari Mimi ni Mkazi wa Moshi Kilimanjaro Eneo la Bonite Kijiji cha Chekereni Kitongoji cha Miembeni. Kwa kweli tuna tatizo kubwa la umeme ni muda mrefu limekuwa likilalamikiwa kwa Uongozi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjarao bila mafanikio. Tatizo liko hivi: Umeme ni mdogo sana hasa saa za jioni...
Back
Top Bottom