Yaani ata kama mume halali alikuwa part of it, atakaye kuwa na issue za kisheria hapa ni mwanamke.
Kuna fundisho kubwa sana kwa wadada wa mjini kutokana na hili
Samahani kukuuliza. Una elimu kiasi gani?
Na pia una elimu au ufahamu wa mikataba ya kisheria? Maana inaonyesha huelewi ndoa ni mkataba wa kisheria pia wa Kidini.
Na ndio maana dini zote na mila zote zina process ya kuvunja hiyo mikataba ili both parties waweze kuingia kwenye mikataba mipya...
Namtetea Mushi maana kumbuka Doreen amekuja kujulikana ndie mwenye kuolewa maada ya ndoa.
Majina kanisani na kwenye cheti kilikuwa cha uongo.
Bibi harusi aliakikisha kajificha balaa, kanisani kaingia kajifunika kanga, ilipotolewa kanga akawa kavaa wigi na miwani mikubwa.
Sasa jiulize hii yote...
Cheti cha huyo tapeli na Mrema nimekuwekea hapo. Dada Mange alikiposti.
Embu soma kwa sauti hata jirani akusikie.
Na kwa kuwa unapenda facts hebu tuonyeshe hicho chako unachosema alitumia Doreen Kimbi.
Hivi huelewi kwamba Doreen hakutumia jina Lake la kweli kwenye kutangaza na kufunga ndoa na Mrema?
Doreen ametumia jina la uongo (fake) ambalo ni Doris Mkandala.
Mtaani na kwa mume wake wa kwanza alijita Doreen Kimba.
Magereza na uhamiaji alijiita Doreen Mkandala.
Unawekaje pingamizi kwenye...
Sasa wewe ndio unaongea pumba zenye PHD. Rai Mwema waliongea na huyo mume wake na akakubali kuwa Doreen bado ni mke wake. Tafuta hiyo nakala.
Swali la msingi kujiuliza Doreen ni kweli aliolewa au hakuolewa. naskia kesi inafunguliwa. Mahakama itachekecha pumba zote za mitandaoni.
So tulia...
Ndugu yangu.
Mtu anapokuwa ana forge sana inafika kipindi anajisahau. Ebu fikiria mtu anamajina haya yote ya kutapeli
1. Agness kimbi (jina Lake la kuzaliwa)
2. Doreen Kimbi (alichukua la binam yake ili aweze kuendelea na shule, agnes alifeli shule, na ndilo alilotumia pia kwa ndoa HALALI na...
Waandishi wa habari wanajuaje kuhusu habari mbalimbali kila kona ya nchi?
Kuforge documents za ndoa ni kitu kikubwa sana sana mkuu.
Na hapa ndipo nimekuwa nasema kama haya sio ya kweli Doreen ajitokeze awaambie watanzania.
Kumbuka Doreen alimzika tu Mrema akatokea kwenye media akitangaza...
Acha upuuzi wewe.
Mimi sio kijana wa Mrema acheni kusingizia watu.
Sasa kwa habari zilizopo na mwambie Doreen azikanushe
Inasemekana kwenye kikao cha ukoo baada ya mazishi watoto wa Mrema walimpa kiwanja kigamboni (thamani kama milion 70), pesa tasilimu mil 50 na wakahaidi watamnunulia gari...
Inasemekana kwenye kikao cha ukoo baada ya mazishi watoto wa Mrema walimpa kiwanja kigamboni (thamani kama milion 70), pesa tasilimu mil 50 na wakahaidi watamnunulia gari jipya lingine.
LAKINI mjane wenu alikataa anataka zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.