Kuna jambo lingetolewa maelezo kutoka wizara ya afya. Hivi karibuni hospitali zimekuwa zikielekezwa kutumia mfumo wa Afya eHMS unaohusishwa na bwana Kiliba.
Sasa swali ni kwamba, mbona kuna mifumo mingi tu ya hospitali tena mingine inafanya kazi vizuri zaidi, lakini wizara imeamua kung'ang'ania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.