Ok nimewaelewa na nashukuru kwa ushauri wa maana wengine naomba muendelee kunishauri, lakini kama kuna ambaye alishakuwa na case kama hii anipe uzoefu wake. Na je naomba kujua kama kuna yeyote ambaye alishawahi kulalamikiwa na gal wake kwamba uume wake mdogo na je alichukua hatua gani na...
Ok nimewaelewa lakini kama kuna ambaye alishakuwa na case kama hii anipe uzoefu wake. Na je naomba kujua kama kuna yeyote ambaye alishawahi kulalamikiwa na gal wake kwamba uume wake mdogo na je alichukua hatua gani na hatimaye gal wake akaridhika?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, nimeingia kwenye mahusiano na msichana niliiyempenda sana kwa karibu miaka 3 kuelekea 4. Lakini nilikuja kugundua msichana wangu ananisaliti kwa kutembea na wanaume wengine na kwa sababu alikuwa ni mkweli nikimbana alikuwa ananiambia na analia sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.