Recent content by maina23

  1. maina23

    Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

    Kuanzia muvuja kwa siri hii huyu jamaa atakuwa ameondolewa
  2. maina23

    Hata usiku huu nimeangalia promotion madaraja kwa watumishi wa umma

    Huyo jamaa ndio maana nimemdharau. Asikushughulishe. Muache kama alivyo mkuu
  3. maina23

    Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

    Jana nilimpotezea mshikaji mmoja. Nilihlgundua ni friend with benefit. Alikuwa teacher akaenda mambobya ndani akanidharau nikamdharau. Connection ujishushe
  4. maina23

    Hata usiku huu nimeangalia promotion madaraja kwa watumishi wa umma

    Naomba ajitokeze HR mmoja aseme modality ya upandishaji madaraja.. Wadau wahusika wataelewa tu kwa sababu kila ninapocheki profile level ya cheo iko vile vile ...saaa mimi kama mm sitajali HR yyt aseme kitu
  5. maina23

    Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

    Hapa hadi atokee HR anayejielewa
  6. maina23

    Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

    Na watafanya hivyo at. Maana opras ndio hakuna. Yaani mh rais ametaka namna bora ya kumpima .tumishi maana opras ilikuwa kikwazo. Sasa leo Waziri atahakikisha inatumika. Walipo jichanganya ni pale kwenye SCORE PERCENTAGE NA PERFORMANCE(ProgressPercentage) Yaani wamejichangsnya kwa kiwango cha...
  7. maina23

    Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

    Ess ni kwa mtumishi sio teacher pekeee
  8. maina23

    Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

    Profile iko kimyaaaaaa
  9. maina23

    Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

    Kila mtumishi anaijua
Back
Top Bottom