Naomba anayefahamu ninapoweza kuusaidiwa matatizo ya ngozi, miaka mingi sasa vikiota usoni kama chunusi basi ni vijipu, kwapa huota kama vijipu vidogo vdogo, sehemu za masikio vile vile, na sehem za siri.
Jasho likaa muda mrefu mwilini vinazidi, nikiwa na stress pia, nikipaka mafuta usoni ni...
(1):Kwa yeyote aliye wilaya yoyote ya Rukwa au Katavi aje Kagera Halmashauri ya Missenyi
(2): Kama upo Dodoma, Tanga, Morogoro, au Dar.....wewe uje Kagera Missenyi, nauli Tsh.2000/ toka Bukoba mjini hadi Halmashauri, na Tsh.3000/ hadi Mtukula mpakani na Uganda
wanajamvi naomba kuuliza kuwa ni account ya Benki gani mwalimu mpya anapaswa kuwa nayo, na kuna usumbufu kiasi gani ukienda kuripot kwanza ndipo ufungue Account?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.