Recent content by Mahsen Nyota

  1. M

    JamiiForums Tanzania MIC STAND FOR STUDIO

    Tsh 50,000 TU
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    NIJARIBU NI CRDB MAANA JUZI NILIKWENDA PBZ NIKAAMBIWA HIVYO, NIKAENDA KCB NIKAAMBIWA HVYO HVYO PIA NA NAFIKIRI HUENDA HIZI NDIO TARATIBU ZA KIBANK HIVI SASA
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    Shukran sanaaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    NAUZA VIATU
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    NIMESHAJIBU HUKO NYUMA...! KWAMBA NINAPOTAKA KUAGIZA MZIGO HUA PESA NATUMA KUPITIA KWA AGENT WANGU ALIOKO CHINA KUPITIA KWA AGENT ALIOKO DAR ES SALAAM... SASA KWA VILE NATUMA KWA DOLA HAWATAKI KUPOKEA PESA AINA NYINGINE ZAID YA DOLA...! PROBLEM ILIYOPO NAIPATAJE HIYO DOLA NA BANK WANAITAJI...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    Nimeshajibu Mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    Nipo Dar Mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    Asante sana Mkuu..!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    Mimi hua Natuma pesa kwa Agent wangu halaf yeye ndiye anatuma kwa Bank Acount ya kampuni ninayotaka kununua mzigo kwake, sasa pale ninapoenda kutuma hawataki TSH kwa vile natuma kwa Dola bas wanataka Dola tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    Hakuna sasa hv kuchange pesa ni Bank na lazima uwe na maelezo ya kutosheleza waenda kuzifanyia nini!?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    Asante kwa mawazo! Lengo langu ni kujua hizo document ni zipi nazipataje
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kununua $ usd

    Habari wanajamii forum nahitaji msaada wa maelezo namna ya kuweza kununua USD Money (Dola) Mimi nafanya Biashara zangu ndogo ndogo Online, sasa mara nyingi hua nanunua DOLA na kuituma kwa ajili ya kununua mzigo, jana nilikwenda Bank mbili hivi kwa ajili ya kununua Dola lakini kila nilipoingia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Ingia Playstore AU AppStore inategemea watumia simu gani download Alibaba then jisajili utakutana na bidhaa nyingi tafuta kile unachohitaji kwa umakini hata zaidi ya masiku jiridhishe kwenye page zao utakutana nao au mfate inbox muombe whatsapp namba then mtaanza wasiliana na utamueleza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Aamen Aamen Aamen
  15. M

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Bwana Kipilipili ametoa somo kubwa sana nafikiri km utaanza kusoma mwanzo utapata majibu mazuri ya kutosheleza na pia sina uzoefu na hyo biashara ya spea ila kwa process na njia za kufanya anza kusoma mwanzo nafikiri utatoshelezeka ila km kuna swali lingine au hujatosheka na nilichokujibu kua huru
Back
Top Bottom