Recent content by Mahmud20

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mkanganyiko pesa ya Kujikimu Kada ya Ualimu Shinyanga DC

    Baada ya Serikali kutoa fedha kwa ajiri ya malipo ya posho za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026. Hali imekuwa tofauti katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga. Ambapo watumishi wapya walio chini ya Idara ya Elimu kata wamelipwa pesa pungufu tofauti na miongozo ya serikali...
Back
Top Bottom