Recent content by mahenje

  1. M

    Loan officers FINCA interview

    Wadu naomba kujuzwa kuhusu interview ya loan officers finca iliyofanyika tarehe 5.11.2012 morogoro vp wameshaita? mwenye updates please.
  2. M

    Tarehe ya interview UDOM

    Heshima kwenu wanajf, udom wametoa majina ya interview admstv post, naomba kujua ni tarehe ngapi? nawasilisha.
  3. M

    natafuta kazi mkoa wa Mwanza

    jamani nina bachelor ya political science and public administration ya udsm, natafuta kazi inayoendana na sifa zangu hapa mwanza, kwa yeyote mwenye info ya kazi let me know. thank u
Back
Top Bottom