Recent content by Mahandu jr

  1. Mahandu jr

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Mkoa wa Mara

    Mkoa wa Mara una eneo la Kilomita za mraba 30,150. Kati ya eneo hilo Kilomita za mraba 10,942 ni eneo la maji sawa na asilimia 36 na Kilomita za mraba 19,208 sawa na asilimia 64 ni eneo la nchi kavu. Katika eneo la nchi kavu, Kilomita za mraba 9,452.34 sawa na asilimia 49.2 ziko katika Hifadhi...
Back
Top Bottom