Safi sana bro Unacho hitaji ni knowledge tu kuanza kutengeneza pesa, anza kufatilia kupitia YouTube cryptocurrency) as a beginner ndani ya miezi kadhaa utaanza kuona mwanga. Tahadhari unapoanza kutrade usiweke mtaji wote.
Let's say unaweza ukaanza na mtaji wa 1000$ huwezi kosa minimum of 1% of...
Bro sijui una miaka mingapi sasahivi, ila miaka mitano baadae wewe ni millionaire even billionaire.
Cha msingi usiche kujishughulisha wakati unaendelea kufijunza ili ukiipata knowledge uwe na mtaji wa kutosha. Fanya hivyo utakuja kunishukuru baadae. ila usije kuwa na tamaa sana kabla ya kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.