Nahitaji msichana mrefu rangi yeyote na kabila lolote anayejitambua ambaye atakuwa mke wangu kama ataridhika na mimi, umri usizidi miaka 27, awe amesoma hata kama ameishia kidato cha 6 na kuendelea na awe na uwezo wa kuona fursa na mshauri kwangu.! Akiwa mikoa ya Dar na Moro ni rahisi zaidi...