Recent content by magomeni mapipa

  1. magomeni mapipa

    COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

    Bei ya maji, umeme, Michele, mahindi zishuke tunaomba Sent using Jamii Forums mobile app
  2. magomeni mapipa

    COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

    Bei za mahitaji muhimu zishuke tafadhali ..bei bei za mahitaji muhimu Selikari zishuke. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. magomeni mapipa

    COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

    Uko ulipo Chato mh.Raising tafadhali Fanya kitu!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. magomeni mapipa

    COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

    Kitu cha kufanya ni selikari kupunguza au kuondoa Kodi za mahitaji muhimu walau kwa miezi 3 bei zishuke ije ifidie pengo, unga aina zote , Michele, sabuni, mafuta. Raisi Atangaze namshauri Sent using Jamii Forums mobile app
  5. magomeni mapipa

    Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Mlisubili iingie ya kutosha kutoka nje au nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. magomeni mapipa

    Hivi ni kwanini kuna watu kila jambo la maendeleo linalofanywa na Serikali wanachukia?

    Kwa sababu ni dhuruma. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. magomeni mapipa

    Iringa, baraza la madiwani laitishwa kumng'oa Meya, baada ya mahakama kutupa madai yake kwa kukosea vifungu vya pingamizi lake

    Viongozi was dini zetu hawaoni dhuruma hizi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. magomeni mapipa

    Iringa, baraza la madiwani laitishwa kumng'oa Meya, baada ya mahakama kutupa madai yake kwa kukosea vifungu vya pingamizi lake

    Viongozi wa Dino wanasemaje kwenye haya madhurumu? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. magomeni mapipa

    Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

    Kujiliwaza kuwa watu wasipaniki ni ujinga. Nchi zilizoendelea zinaadhirika sana kwa sababu watu wanaopanda ndege kwenda na kutoka oversees ni wengi, chukulia mfano wilaya ya kinondoni ni wangapi kwa mwezi mmoja wametua na kuruka oversees linganisha na wilaya kama hii Roma au Madrid utaona Kyle...
  10. magomeni mapipa

    Askofu Niwemugizi asikitishwa na Kauli ya Humphrey Polepole kuwafananisha Wapinzani na Corona

    Baba askofu asante kutuweka tone LA maji kwenye ndimi na makoo yalio na kiu sana! Sisi hasa wa Kristi wakatoliki, kuna wakati wengine tunataka kuamini visivyo kuhusu maaskofu wetu(TEC), kwamba hawaoni?,hawasikii?, hawaambiwi? Hawana habari? Na yanayotendwa chini ya selikali ya mkatoliki...
  11. magomeni mapipa

    Nchi zinazoongoza kwa kuleta watalii hapa nchini, karibu zote ziko kwenye "lockdown" Je, tutavuka na tukivuka tutakuwa katika hali gani?

    Kwa hapa Tanzania watu duni sana wa nyanja zote ndio wapenzi na nguvu ya ..... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. magomeni mapipa

    IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

    Amekurupuka huyu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. magomeni mapipa

    Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

    Au ni kwasababu CHADEMA ndo waliishauri serikari kufunga mipaka? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. magomeni mapipa

    Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

    Mipaka ifungwe Mara moja Leo Afande Silo anasema hakuna kufunga mipaka utafikiri Polisi/majeshi yataweza kuzuia maambukizi, ametoa sababu za kuchekesha na kuchefua yeye ni nani katika fani ya Afya??? Huwezi sema ni ktk nchi za baridi! No geofarafia inatuonyesha upo ktk tropics, sub tropics nk...
  15. magomeni mapipa

    Wananchi 26 Mkoani Arusha wanaohofiwa kukutana na Isabela wanaendelea kuchunguzwa

    Ndege zinatua Tanzania kutoka kote ulimwenguni. Kuna nini katika hili? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom