Recent content by magodiE

  1. magodiE

    Mtaala na changamoto za utekelezaji wako

    Mtaala mpya ulioboreshwa wa elimu ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania unalenga kutoa elimu jumuishi, shirikishi na yenye mwelekeo wa ujuzi zaidi kuliko nadharia. Mabadiliko haya yanakusudia kumwandaa mwanafunzi kuwa mbunifu, mjasiriamali na mshiriki hai katika maendeleo ya jamii na taifa...
Back
Top Bottom