Hivi mkuu kwa mtu anae osha pikipiki 25 na gari ndogo 10 kwa siku akiwa na tank la lita 5000 lililo jaa maji bila kutegemea maji ya dawasco kwa sehem ambayo maji yana kata mara kwa mara anaweza kudumu nalo kwa mda gani.
Kwa mtaji wa laki tano unaweza ukanunua mahindi vijijin mwez watano msimu wa mavuno debe Ef 6 ad ef 7 ,gunia la debe kumi hua haizid 60k kwa bei ya Iringa mwez wa tano. ko unaweza jumua gunia 4 kwa 240k.
Saga uza unga mjini. kila debe litakupo zaid ya 20k

Viatu vya mtumba kwa Morogoro vinalipa sana
Pair moja nachagua kwa 3000
Sokoni nauza kwa 5000
Faida per pair ni 2000
Kwa siku unaeza uza hadi 30 hadi 40 prs
Faida per inafika hadi 100k + biashara siku hiyo ikiwa vizur na ikiwa vibaya faida haishuki chini ya 50k
Biashara ya kuuza matunda kwa wafanya kazi wa ofisi za uma.
1. Matunda mchanganyiko - 150,000/-
2. Package (100pcs)-10,000/-
3. Vifaa vya kandalia - 30,000/-
4. Simu ndogo ya button@1 50,000/-
5. Sare1@ 25,000/-
6. Vikapu ya kusambazia 5@ 20,000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.