Recent content by MagettaJM

  1. M

    JamiiForums Tanzania DAVID KAFULILA amekosa heshima kwa Watanzania

    Maamuzi aliyoyachukua kafulila mbona in sahihi kabisa. Maana hata wale wabunge ambao wapo bungeni hamna jipya wanalolifanya huko tofauti na kupiga kelele tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wajumbe 7 mbumbumbu wa bunge la katiba

    Hapa tatizo sio kutokupiga kura bali in kura kuharibika. Ukweli ni kwamba wale wajumbe saba walioharibu kura ni mbumbu mno. Ni heri ingejulikana kwamba hawakupiga kura kuliko kuharibu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    :majani7:Kisayansi na ukweli Muundo wa serikali tatu ndio unafaa kwa sasa . Maadamu Zanzibar hawataki Muungano wa serikali moja hatuna namna nasi ni kuwa naTanganyika yetu tuking'ang'ania serikali mbili hakika Muungano utavunjika.
Back
Top Bottom