Naona watu wengi mnashindwa kuelewa hii baiashara ilivyo. Unapofuga kuku wachache wamayai definetly lazima tray lako utauza kwabei kubwa lakn unapokua na kuku wengi wamayai (vice versa is true)
Kwasasa soko lamayai kwa bei ya jumla linaanzia 6500 - 6800 (nenda shekilango soko lamayai ukajionee)...
Natafuta mfugaji wa kuku wa mayai ya kisasa mwenye uwezo wakunisambazia Tray 100 kila baada yasiku 2.
Tutaingia mkataba/makubaliano kati yetu nayeye, hivyo kwayeyote mwenye uhitaj wa biashara anakaribishwa.
Tutanunua Tray kwa 6500 Tsh.
Contact: +255 712 312 330 (WhatsApp, Calls and Sms)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.